African Studies Project Topics and Materials

Showing 1 - 16 of 16

1) FALSAFA YA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT NA EUPHRASE KEZILAHABI KATIKA MUKTADHA WA EPISTEMOLOJIA YA KIBANTU

Abstract This Thesis entitled ―Philosophy in the Novels written by Shaaban Robert and Euphrase Kezilahabi in the Context of Bantu Epistemology‖ investigates the existence of Bantu Epistemolgy in the novels of the aforementioned literary writers basing on the following components: witchcraft, rituals, belief on soul and death, the heart, God,... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0016
  • Pages:487

2) TASWIRA KATIKA USHAIRI WA MWINYIHATIBU: KUTOKA MALENGA WA MRIMA NA MALENGA WA MRIMA NIMERUDI

SHUKRANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia nguvu, uzima, afya njema na kuniwezesha kuifikisha kazi hii katika hatua hii. Pili, shukrani zangu za pekee zimwendee msimamizi wangu, Dkt. Muhammed Seif Khatib, ambaye amekuwa nami bega kwa bega katika kunishauri, kunikosoa, kutoa mwongozo na mapendekezo ili kuhakikisha kazi... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0015
  • Pages:121

3) TOFAUTI ZA MTINDO KATIKA RIWAYA YA UPELELEZI YA KISWAHILI: ULINGANISHO WA MOHAMED SAID ABDULLA NA ERICK JAMES SHIGONGO

SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0014
  • Pages:127

4) UZINGATIZI WA VIAKIFISHI KATIKA UANDISHI WA KITAALUMA: MIFANO KUTOKA SHULE ZA MSINGI TANZANIA

SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii.... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0013
  • Pages:232

5) UTANZIA KATIKA KASIDA ZA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA

SHUKRANI Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0012
  • Pages:118

6) WAHUSIKA WA KIMIMI KATIKA RIWAYA YA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DUNIA YAO NA NYUSO ZA MWANAMKE

SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili.... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0011
  • Pages:112

7) TASWIRA KATIKA NGANO ZA KISWAHILI KUTOKA WILAYA YA KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR

SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za... Continue Reading

8) AN INVESTIGATION ON THE IMPACT OF LOAN WORDS IN THE TEACHING OF ISINDEBELE IN KHAMI DISTRICT BULAWAYO PROVINCE.

ABSTRACT Schools in Khami District have not been spared from the influence of loan words in the teaching of the Ndebele language. The researcher focused on the impact of loan words in the teaching of Ndebele language in the selected Khami District Schools of Bulawayo Province .The Schools were Dumezweni Primary School, Godlwayo Primary School and... Continue Reading

9) FALSAFA YA KIAFRIKA KATIKA VITABU TEULEVYAFASIHI YA KISWAHILI: DUNIA UWANJA WA FUJO NA NGOMA YA NG’WANAMALUNDI

SHUKURANI  Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla.... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0008
  • Pages:107

10) MDHIHIRIKO WA MWENDO KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA KATIKA DIWANI ZA WASAKATONGE NA KIMBUNGA

SHUKURANI  Kwanza ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima wa afya katika kipindi chote cha masomo yangu hadi kuikamilisha tasinifu hii katika muda uliopangwa. Pia ninawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi mwanzo hadi mwisho wa tasinifu hii. Kwa uchache ninapenda kuwapa shukurani zangu za dhati kwa kuwataja hawa wafuatao; Kwanza,... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0007
  • Pages:105

11) HUZUNI KATIKA NYIMBO ZA TAARAB ZA WAIMBAJI BI FATMA ISSA NA SHAKILA SAID

SHUKURANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunijaalia uzima na afya njema katika kipindi chote cha kukamilisha utafiti huu. Pili, ninamshukuru msimamizi wa utafiti huu, Dkt Muhammed Seif Khatib ambaye alikuwa mwongozaji wa kazi hii na alifanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa utafiti huu unamalizika katika hali ya... Continue Reading

12) USEMEZANO KATIKA RIWAYA YA KISWAHILI

SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0005
  • Pages:253

13) USAWIRI WA UFUNGWA KATIKA RIWAYA ZA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA KATIKA RIWAYA ZA UMLEAVYO NA HAINI

SHUKURANI Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0004
  • Pages:205

14) MATUMIZI YA FALSAFA YA USIHIRI KATIKA RIWAYA TEULE ZA EUPHRASE KEZILAHABI

SHUKURANI  Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa taasisi na watu mbalimbali waliotoa ushauri na michango yao ya hali na mali iliyowezesha kukamilisha kazi hii. Awali ya yote, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kumshukuru Mwenyezi-Mungu (sw) kwa kunijaalia afya njema katika kipindi chote cha masomo yangu. Afya ambayo iliniwezesha... Continue Reading
  • Type:Project
  • ID:AFS0003
  • Pages:178

15) CHIMBUKO LA DHIKIRI: MABADILIKO NA ATHARI ZAKE KWA JAMII YA WAZANZIBARI

SHUKRANI Kazi hii imekamilika kutokana na michango ya watu mbalimbali walioshirikiana nami kuona inafanyika kama ilivyopangwa. Sina budi kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walionisaidia katika kufanikisha utafiti huu. Kwanza, kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai, uzima na afya njema hata nikaweza kufanikisha kazi hii bila... Continue Reading

16) INDIGENOUS RESISTANCE TO SLAVERY BY THE BUILSA PEOPLE OF NORTHERN GHANA

ABSTRACT There is enough historical evidence to show that the northern part of Ghana was affected by slavery in many ways. My thesis discusses slavery in Builsa territory located in the present day Upper East Region of Ghana. I pursued the studies using a number of strategies such as oral interviews, personal observation and participation and... Continue Reading
Need help with your African Studies Project Topic? Click here to request assistnce or reach us on + 234 813 0686 6500
whatsappWhatsApp Us